Wavuvi katika Halmashauri ya Mtama, Wilayani Lindi, Mkoani Lindi, wametakiwa kujisajili ili waweze kutambulika na kupata mikopo ambapo hadi sasa wavuvi 200 ndiyo wamejisajili na kutambulika rasmi na kwamba hatua ya kujisajili itawezesha Serikali kutambua mahitaji yao ya moja kwa moja ikiwemo kupata mikopo ya vyombo vya uvuvi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *