Mkazi wa Kijiji cha Kahulungu, kata ya Uyui katika Manispaa ya Tabora, Boniface Maganga, ameeleza namna alivyopata mabadiliko makubwa ya maisha baada ya kunufaika na mkopo wa shilingi milioni 10 uliotolewa na serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia kundi la watu wenye ulemavu.

Akisimulia changamoto alizokuwa akizipitia, Maganga amesema maisha yalikuwa magumu kiasi cha kufikia hatua ya kukata tamaa ya kusomesha watoto wake, licha ya binti yake kufaulu vizuri na kujiunga na chuo kikuu.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *