Mlandege imejinyakulia point 3 muhimu kutoka kwa Singida Black Stars. Timu hizo zimetoana jasho vikali kwenye dimba la New
Amaan Complex. Mlandege Fc imeonesha ubabe wake kwaushindi wa magoli mawili dhidi ya moja.
Kufuatia matokeo hayo Mlandege Fc imetinga nusu fainali kibabe na kuitoa singida Black Stars kichwa chini . Katika hatua nyingine Mlandege atafahamu nani atae kabiliana nae kati ya Simba Sc au Mafunzo Fc .
Nusu fainali hiyo inatarajiwa kupigwa tarehe 26 saa 2:15 usiku . Huku ikiweka wazi uwezekano wa miamba ya soka Tanzania bara , Yanga SC na Simba SC, kukutana moja kwa moja katika hatua ya fainali jambo linaloongeza ushindani na kusubiriwa kwa hamu kubwa iwapo zote zitafanikiwa kufika hatua ya mwisho ya mashindano hayo.
Fainali ya Kombe la Muungano 2026 imepangwa kuchezwa Aprili 29, Saa 2:15 usiku. Hii ndiyo mechi inayoweza kuamua hatima ya
ushindani mkubwa kati ya vigogo hao wa soka la Tanzania endapo watafika hatua hiyo.6, Saa 2:15 usiku .

(Feed generated with FetchRSS)