Wananchi wa Mkoa wa Lindi, wamesema wapo tayari kupokea mradi mkubwa wa gesi (LNG), unaotarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowote kuanzia sasa, huku wakimshukuru Rais Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha mradi huo, sambamba na kuomba kulipwa fidia za maeneo yao yatakayo chukuliwa ili kupisha mradi huo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *