Wananchi wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani na maeneo mengine ya jirani wameanza kunufaika na huduma za kibingwa za macho zilizoanza kutolewa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe baada ya mwenge wa uhuru kuzindua rasmi mradi huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi 120 za kitanzania.
(Feed generated with FetchRSS)