Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt. Hussein Ally Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pili la Uwekezaji Zanzibar linalolenga kuvutia wawekezaji wa ndani na wa nje litakalofanyika kuanzia Juni 3 hadi 05 mwaka huu, visiwani Zanzibar.
(Feed generated with FetchRSS)