Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Tabora limefanya zoezi la usafi pamoja na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tabora na maeneo mbalimbali mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea maadhimisho ya Siku ya Zimamoto Duniani, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Mei, ambapo zoezi hilo kama ishara ya kujali na kuthamini jamii wanayoihudumia.

@deilahmomo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *