Leo tarehe 4/5/2026 katika makao makuu ya nchi, jijini Dodoma, Mzalendo Alphonce Muyinga (Alphanga Black) ameacha alama ya kipekee ya uzalendo na kujitoa kwa jamii baada ya kutembelea Shule ya Msingi Michese.

Akiwa shuleni hapo, amewagusa kwa karibu wazazi, walimu na wanafunzi kwa kuwahamasisha wanafunzi kusoma kwa bidii, akisisitiza kuwa elimu ndiyo msingi wa mafanikio yao binafsi, familia zao na taifa kwa ujumla.

Katika kuunga mkono jitihada za serikali chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan, hasa katika kuhakikisha mazingira bora ya kujifunzia na matumizi ya nishati safi na salama, Alphonce Muyinga ametoa msaada mbalimbali

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *