Familia ya baharia Mchama Maregesi aliyeuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya meli aliyokuwa akifanya kazi kwenye eneo lenye mgogoro wa kiusalama la Mlango wa Hormuz wameiomba serikali kuwasaidia kuupata mwili wa marehemu huku pia wakieleza safari ya maisha yake hadi umauti ulipomkuta.

Augustine Mgendi amezungumza na wazazi wa marehemu.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *