TRA UNITED vs AZAM FC: “Hongera kwa TRA”
Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema walianza mechi vizuri japo baadae wakasahau kucheza mpira na kuwaacha TRA United wakienda kushambulia.
Ibenge anasema TRA United walifanikiwa zaidi kwenye mipira ya juu.
Azam FC imepoteza kwa jumla ya magoli 4-1 dhidi ya wenyeji wao TRA United.
Kocha wa TRA United, Etienne Ndayiragije, ametoa neno baada ya ushindi
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#TRAUnited #AzamFC
(Feed generated with FetchRSS)