Askari wanawake wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wao katika mbinu za kudhibiti ghasia pamoja na kumlinda kiongozi wao dhidi ya hatari mbalimbali, katika maonesho yanayofanyika, Ukonga jijini Dar es Salaam.

Maonesho hayo yanafanyika leo Mei 9,2026 kama sehemu ya hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi namba 28 pamoja na Uongozi Daraja la Pili Kozi namba 48 kwa mwaka wa mafunzo 2025/2026 yanayotolewa na Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA).

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *