Katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini, maafisa usafirishaji maarufu bodaboda wa Wilaya ya Kigamboni wameitikia wito huo kwa kushirikiana na CHAJA AFRIKA katika mapinduzi ya usafirishaji kwa kutumia pikipiki za umeme.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *