Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais SAMIA SULUH HASSAN, imeendelea kuimarisha mazingira rafiki yanayochochea ukuaji wa sekta binafsi za kifedha nchini, hatua inayosaidia kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja pamoja na taifa kwa ujumla.
(Feed generated with FetchRSS)