Halmashauri ya Mji Babati itakabiliwa na uhitaji wa vyumba 64 vya madarasa katika kipindi cha mwaka 2027-2028 kufuatia matarajio…Halmashauri ya Mji Babati itakabiliwa na uhitaji wa vyumba 64 vya madarasa katika kipindi cha mwaka 2027-2028 kufuatia matarajio…

Halmashauri ya Mji Babati itakabiliwa na uhitaji wa vyumba 64 vya madarasa katika kipindi cha mwaka 2027-2028 kufuatia matarajio ya ongezeko la wanafunzi zaidi ya elfu 6,347 huku pia kwa sasa ikiwa na uhaba wa nyumba za walimu zaidi ya 400.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *