Mkurugenzi Mtendaji wa Temeke Womens Galla Bi. HALIMA MHANDO akieleza utayari wao wa kuendeleza ushirikiano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais DKT. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha mtandao wa Wanawake wa Wilaya ya Temeke katika kuwatambua, kuwawezesha kufikia ndoto zao za kujikwamua na uchumi.
(Feed generated with FetchRSS)