UFUNGUZI SHEREHE ZA KOMBE LA DUNIA | ”…Italia kukosekana kwenye Kombe la Dunia ni pigo…” @shaffihdauda_tz amesema kutokuwepo kwa Italia ni pigo kwa sababu ni miongoni mwa mataifa machache yaliyofanikiwa kubeba ubingwa.
Hii ndio #AzamTV na leo ndio ile siku ya ufunguzi wa fainali za Kombe la Dunia 2026.
Imeandaliwa na Yustina Kibutwa
Mhariri | @rajjmsangi
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)