#KombeLaDunia2026 Huu ulikuwa ni uchambuzi wa kiufundi kutoka kwa Athuman Bemelengo baada ya kipindi cha kwanza… akielezea kitaalamu ni vipi Argentina waliweza kuiangusha Algeria na kuwatangulia kwa goli moja.
FT: Argentina 3-0 Algeria.
Hewani muda huu ni Austria vs Jordan LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV ##MechiZote104LiveAzamTV #ArgentinaAlgeria
(Feed generated with FetchRSS)