VIWANJANI: “Goli la kona ni la timu…”
Mchambuzi wa soka, @akingamkono amepongeza kiwango kilichooneshwa na mchezaji wa Azam FC, Lameck Lawi akieleza kuwa aliingia uwanjani na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi katika mchezo wa nusu fainali ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Yanga SC.
Kingamkono amesema Lawi alionesha utulivu na nidhamu ya kiuchezaji na mchango katika kuimarisha mfumo wa timu, huku akisisitiza kuwa goli la kona ni matokeo ya maandalizi na ushirikiano wa timu nzima si mchezaji mmoja pekee.
✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#Viwanjani
(Feed generated with FetchRSS)