#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Babati kwa kupata hati safi katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025, akisema mafanikio hayo yanaonesha usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa watendaji.
Akizungumza katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Babati kilichojadili taarifa hiyo, Sendiga amesema pamoja na mafanikio hayo, Halmashauri inapaswa kuendelea kuboresha maeneo yenye changamoto ili kuhakikisha inadumisha na kuongeza kiwango cha utendaji bora katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)