Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ametangaza kuongezeka kwa riba ya benki kuu (CRB) kutoka asilimia 5.75 hadi asilimia 6.25
wa robo ya tatu ya mwaka inayoishia Septemba 2026.
Amesema uamuzi huu unalenga kudhibiti ongezeko la mfumuko wa bei unaotokana na kupanda kwa bei za mafuta, mbolea na gharama za usafirishaji, hali inayotokana na mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati.
Ambapo Kamati ya Sera ya Fedha imeona kuwa ongezeko la riba ni sahihi katika kuhakikisha mfumuko wa bei unabaki ndani ya lengo la asilimia 3 hadi 5, na kuendelea kuchangia ukuaji wa shughuli za uchumi.
(Feed generated with FetchRSS)