Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani humo kuonesha mshikamano wao katika kulinda na kuendeleza amani na utulivu. Wamesisitiza kujitenga na vitendo na njama zozote zinazoweza kuvuruga usalama wa wananchi, huku Serikali ikivitaka vikundi hivyo kuendelea kushirikiana kwa karibu na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwa wakati, ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa na hali ya amani iendelee kudumishwa.
@deilahmomo
(Feed generated with FetchRSS)