#KombeLaDunia2026: “Cape Verde wameonesha mchezo mmoja hatari sana”
Mtangazaji Saidi Van Msumi anasema hadhani kama kuna timu ya Afrika ambayo imeonesha nguvu kama Cape Verde kwewnye fainali za Kombe la Dunia 2026.
Msumi amezitaja mechi ambazo hatokuja kuzisahau kwenye fainali hizo zilizoandaliwa Marekani, Mexico na Canada.
Kumbuka tulikuahidi kukuletea mechi zote 104 na tayari tumeshazikata mechi 100.
LIVE #AzamSports2HD na #AzamSports4HD
(Imeandaliwa na Ally Bakari Mufti)
#FWC26 #FIFAWorldCup WeAre26 FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)