#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, ambao ni Steve Stephano Elias (27) na Moses Joseph maarufu kama Kisoko (26) kwa tuhuma za kumteka Haiti Ramadhani na kuwapigia Simu familia yake wakitaka wapatiwe pesa kiasi cha shilingi Milioni 14.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi ambapo amesema watuhumiwa hao watafikishwa wilayani Handeni kwa hatua zaidi za kisheria.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.