#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetangaza kukamata watuhumiwa mbalimbali 55 katika kipindi cha mwezi Januari, 2026 wakiwemo vijana wanaopora simu kwa kutumia bodaboda maarufu kama Vishandu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Almachius Mchunguzi amesema vishandu hao wamekamatwa na simu 60 na 35 kati ya hizo zimeshatambuliwa na kukabidhiwa kwa wahusika.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *