“…lakini Mheshimiwa Mwenyekiti nakisi ambayo sisi tunaiona hauwezi kuwa na mchakato bora wa Katiba Mpya kwa kutaja ahadi ya Katiba mpya peke yake sisi tunaona kwamba Katiba mpya inashughulikiwa kwa vipande vipande, kipande ambacho tumepewa sasa…” Ado Shaibu, Mbunge wa Tunduru Kaskazini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania