#HABARI: Wanafunzi wa shule ya Msingi Changanyikeni wakighani Ngonjera katika uzinduzi wa mpango mkakati wa umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaofanyika Baraza la Mitihani la Taifa jijini Dar es Salaam na kuzinduliwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 29, 2026.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.