Matajiri wa jiji AzamFC wanaisaka robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Jumamosi hii watakuwa nyumbani dimba la New Amaan Complex, Zanzibar wakiwakaribisha AS Maniema.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCC #Azamtvsports #AzamFC