#NBCPL: Ilipigwa “cross” na Gadiel Michael na kuunganishwa kwa kichwa na William Edgar kisha mpira ukajaa kamabani, Dodoma Jiji ikitangulia.

Eliud Ambokile akairudisha Mbeya City mchezoni kwa goli la kichwa akiuunganisha mpira wa kona.

FT: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji

Saa 1:00 usiku ni KMC dhidi ya Mashujaa FC, LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *