Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari la kubebea wagonjwa la Hospitali ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Gari hiyo inadaiwa kuibwa Oktoba mwaka 2025 katika viunga vya halmashauri ya manispaa Musoma.
@augustine_mgendi amefuatilia taarifa ya Polisi.
Mhariri @moseskwindi