VIWANJANI: “Mtanda ni mtu wa mpira ndio maana Pamba pale ilipo inafanya vizuri kwa sababu yake…”
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa wa Mara Augustine Mgendi amesema kuhamishwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kwenda kwa wapinzani wao wakubwa kisoka Pamba Jiji kumesababisha timu ya Biashara United ishindwe kurudi ligi kuu.
Awali Mtanda alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kabla ya kuhamishiwa mkoani Mwanza.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
#Viwanjani