BSS MEDIA TOUR | Jaji mpya wa #BSS msimu wa 16, @coy_mzungu amemshukuru Jaji Mkuu na Mkurugenzi wa Benchmark 360, @msritapaulsen kwa kuwapa nafasi vijana wenye vipaji vya kuchekesha kuonesha uwezo wao kupitia jukwaa la BSS Next Level Revolution.
#BSSNextLevelRevolution
(Feed generated with FetchRSS)