NBA
New York Knick watakuwa Madison Square Garden wakiwakaribisha Nikola Jovic akiwa na chama lake la Denver Nuggets
Knicks wameshinda mechi Saba mfululizo, je wataongeza ushindi wa Nane?
San Antonio Spurs watakuwa Frost Bank Center wakiwakaribisha Oklahoma City Thunder. Huu unakuwa mchezo wa tano na mwisho kwa timu hizi kukutana msimu huu, huku Spurs akishinda michezo mitatu na OKC wakishinda mmoja.
Je nani kupata ushindi katika game ya mwisho?
Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unatazama NBA mbashara kupitia chaneli ya ESPN ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV.
#ESPN #NBA #AzamTV