Sanaa na ubunifu inaendelea kukua nchini huku ubunifu wa mavazi kwa kutumia vitu vilivyotupwa ukianza kushika asi.

Mwenzetu Esterbella Malisa amewatembelea wasanii na wabunifu wa mavazi yatokanayo na maboksi na mifuko vilivyokwishatumika na kutupwa kuzalisha aina mbalimbali za mavazi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *