Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na mamia ya wakazi wa Tabora katika maziko ya aliyekuwa Mbunge mstaafu wa Viti Maalumu mkoani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe aliyezikwa katika makaburi ya Mbirani katika Kata ya Kidongo Chekundu.

Juma Kapipi amezungumza na wanachama wa CCM waliowahi kufanya kazi kwa karibu hususani Bungeni na marehemu Munde Tambwe.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *