Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Cha Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani, Lailah Ngozi, amewataka Wana CCM kuendelea kulinda amani, na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
(Feed generated with FetchRSS)