Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Uwanja huo ulifungiwa kutokana na miundombinu yake kutofaa kutumika kama ilivyoainishwa kwenye masharti ya kanuni za leseni za klabu.

(Feed generated with FetchRSS)