BENKI YA USHIRIKA TANZANIA COOP KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA ZANA ZA KILIMO SHAMBANI
Kupitia kongamano la kwanza la kimataifa linaloangazia matumizi ya teknolojia endelevu ya zana za kilimo, Benki ya ushirika Tanzania COOP ambayo ni miongoni mwa wadhamini wa mkutano huo imewahamasiha vijana kuchangamkia kilimo kwa kupata mikopo na kutumia teknolojia za kisasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benko hiyo Godfrey Ng’ura amesema wataendelea kuhakikisha upatikanaji wa zana za kisasa za kilimo na sio lazima vijana wamiliki zana hizo bali wazitumie kikamilifu na kwa ufanisi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *