Tetesi za soka nchini England zinasema Kiungo wa kati wa klabu ya Newcastle ya Uingereza na timu ya taifa ya Italia Sandro Tonali, 25, yuko juu kwenye orodha fupi ya Manchester United kuchukua nafasi ya kiungo wa kati wa Brazil Casemiro, 33, msimu huu.

Je Tonali anatosha viatu vya Casemiro?

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *