Hatua ya robo fainali Kombe la DFB Pokal inakamilika kuchezwa leo saa 4:45 usiku.
FC Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena wakicheza na RB Leipzig
Je, ni Bayern ama RB nani kumfata VFB Stuttgart katika hatua ya nusu fainali?
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
#DFBPokal #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)