Ikiwa leo yameingia katika siku ya pili, Maonesho ya Mnada wa Kimataifa wa Mifugo (Tri – Nations Livestock Expo) umetoa mafunzo kwa wafugaji kuhusu namna bora ya kutunza mifugo, kuitafutia soko, kuitangaza na kuiuza.

Taarifa ya Joseph Mpangala imeangazia kwa kina mafunzo hayo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *