JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “kuwatengenezea hamu ya mechi siku ya kesho…”.
Kocha wa Coastal Union Mohamed Muya, amesema kuelekea mchezo wa wao dhidi ya JKT Tanzania watajilinda dhidi ya ubora wa timu hiyo kwani wanatambua Ahmad Ally ni mwalimu wa mbinu nyingi na wachezaji wake wana uzoefu mkubwa.

Naye mchezaji wa timu hiyo Bakari Msimu, amewaalika wadau na mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kushuhudia burudani itakayotolewa uwanjani hapo kesho.

Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#JKTTanzania #CoastalUnion #JKTTanzaniaCoastalUnion

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *