NBC Premier League leo Alhamis
Saa 1:00 usiku,Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha TRA United.
Je, ni walima Zabibu ama wakusanya mapato nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)