Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Richard Kasesela ameipongeza kampuni ya Africa Media Group Limited (Channel Ten na Magic FM) kwa kuendelea kupaza sauti ya kuelimisha, kuburudisha pamoja na kuuhabarisha umma kuhusu mambo yote mazuri yanayofanywa na Serikali.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)