Machi Mosi patakuwa hapatoshi dimba la New Amaan Complex kwani itapigwa Kariakoo Derby, Yanga SC dhidi ya Simba SC.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, lipia sasa usipitwe.
#NBCPL #Kariakooderby
(Feed generated with FetchRSS)