zipo stori nyingi nzuri ambazo zilianza kwa majonzi lakini hii ya @lisa_fickenscher ni ya kusisimua, ina elimisha na ina kila sababu ya kupenya katika masikio ya kila mwanamke ili kujua kuwa Mwanzo huanza kwa Kuamini na kuamua kuwa tofauti.

katika msimu huu wa #mwanamkefundi2026 Lisa anasimama kama #Fundi aliyeweza kushinda msongo wa mawazo na kuwa kati ya walimu wachache wa Mbwa hapa nchini walio hodari na anayetengeneza kipato kizuri tu cha pesa.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *