Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela Yvan Gil Pinto ametoa wito leo Jumatatu, Februari 23, huko Geneva kwa ajili ya kuachiliwa “mara moja” kwa rais wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Nicolas Maduro, ambaye alikamatwa na Marekani zaidi ya mwezi mmoja uliopita, mnamo Januari 3.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Venezuela inadai “kuachiliwa mara moja na serikali ya Marekani kwa rais aliyechaguliwa kulingana na kikatiba ya Jamhuri ya Venezuela, Nicolas Maduro Moros, na mkewe, Cilia Flores,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Yvan Gil Pinto,  ametangaza mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *