KUMBUKUMBU ZA WATANI | Jikumbushe kidogo kilichotokea tarehe 20/04/2024, Simba walipokufa 2-1 kwenye Kariakoo Derby.
Je, ni wachezaji gani waliokuwepo siku hiyo ambao unatamani wangekuwepo kwenye derby ijayo ya tarehe 01/03/2026?
NB: Vita ya Chama vs Diarra iko palepale
Hii #Haikwepeki
#NBCPremierLeague #NBCPL #KariakooDerby #YangaSC #SimbaSC #YangaSimba
(Feed generated with FetchRSS)