Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Benno Malisa amewataka wakazi na wakulima wa wilaya ya Mbarali mkoani humo kutafuta zao mbadala la biashara ili kuongeza wigo wa mapato badala ya kutegemea mpunga pekee.

Malisa ametoa wito huo katika kikao cha madiwani wa halmashauri ya Mbarali ilipokuwa ikijadili mikakati ya kujibu kivitendo hoja zilizoibuliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kabla ya Malisa kutoa rai hiyo, Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Raymond Meri amesema tayari wameanza mikakati mbalimbali kama wanavyosikika katika taarifa ya Kakuru Msimu.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *