Kim Yo-jong, dada mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amepandishwa cheo na chama tawala katika mkutano mkuu ambao hufanyika kwa nadra, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti leo Jumanne, Februari 24.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Kamati Kuu ya Chama cha Wafanyakazi imemteua Kim Yo-jong—ambaye hapo awali alikuwa naibu mkurugenzi wa idara—kama mkurugenzi kamili wa idara, Shirika la Habari la Korea (KCNA), chombo rasmi cha Pyongyang, kimetangaza.

Kim Jong-un alichaguliwa tena kwa kauli moja na chama hicho siku ya Jumapili, Februari 22, kwenye wadhifa mkuu wa katibu mkuu wa chama, vyombo vya habari vya serikali viliripoti siku ya Jumatatu.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *