Teddy hataki kusikiliza maumivu ya Vida kuhusu matendo ya Paul. Sanga ashangazwa ukimya wa Katanga suala la Vida, mipango inaendelea kumuozesha kwa Paul ambaye ni baba yake mdogo…Usikose kutazama #ZoraSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
(Feed generated with FetchRSS)